Popular Posts

Wednesday, 12 August 2015

amaxc blog: hii ndo boti ya kifahari ya mmiliki wa club ya chelsea!! nhatarrrr jionee hapa

Bilionea wa Kirusi ambae pia ni mmiliki wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Roman Abromavich hajaishia tu kupenda kununua wachezaji mastaa waje kucheza katika klabu yake bali anapenda kumiliki vitu vizuri na vya thamani, Abromavich ana miliki vitu mbalimbali vya thamani.
roman_abramovich_2071645b (1) Abromavich ana utajiri mkubwa na anaonekana kutimiza kila hitaji la moyo wake unalo hitaji kwa wakati husika japo kitu pekee ambacho pesa zake zimeshindwa kununua ni aina ya mfumo wa uchezaji wa FC Barcelona na kuupeleka Chelsea kwani asilimia kubwa ya makocha wanaoingia katika timu hiyo huwa hawafanikiwi kuuleta ile aina ya soka la kuvutia wanalo cheza klabu ya FC Barcelona.
roman 2 August 12 nimeona nikusogezee picha za boti binafsi ya Bilionea anayeimiliki klabu ya Chelsea boti ambayo imefungwa mitambo maalum ya kuzuia mtu au paparazi akipiga picha haitokei lakini pia ina sehemu ya kutua helcopter juu ya hiyo boti, Roman Abromavich aliwahi kuja kupanda mlima Kilimanjaro Tanzania.
asante san mdau wangu!! keep on supporting amaxc blog!! for better developnent!!! for all!! pamoja peolezz!!

No comments:

Post a Comment