Popular Posts

Saturday, 15 August 2015

amaxc blog: hii hapa kali!!! unajua n imesemekana kuwa alikiba na jokate wametanga...!!! chek full story hapa!!

***kume kuwepo na taarifa kuwa mwibaji wa bongo fleva nchn yan namaanisha alikiba!!! ana uhusiano wa kimahaba na jokate mwegelo!!!! inshu hii imezuka juz kat baada ya picha za mastaa hao kuonekana mitandaoni!! hata hivyo *** amaxc imejiribu kuongea na mmoja kati yao na akakiri kuwa n kweli wako kweny maandaliz ya ndoa!!! licha ya kuwepo kwa kikwazo cha dini baina yao!!!
alikiba akiwa na the beautiful kidoooooti!!!!

No comments:

Post a Comment