Popular Posts

Saturday, 15 August 2015

amaxc blog: ukweli alio usema alikiba kuhusu collabo yake na neyo!!!! kuna kauli flan hv tata kuhus video ya hiyo collabo!! jionee full story hapa...

Ali Kiba amethibitisha ujio wa collabo na Neyo na kusema ” Ni project ya coke studio, tutarekodi wimbo na video na zote zitaweza kuchezwa kwenye radio na tv baada ya kufanyia show coke studio ” . Ali Kiba pia amefanya wimbo na Sauti Sol na Davido.klik hapa ujionee alikiba akiwa na neyo

No comments:

Post a Comment