Popular Posts

Saturday, 15 August 2015

amaxc blog: sauti sol wamefunguka kuhusu collabo walizo make na wasanii wa bongo!!! jionee list ya wasanii waliotajwa!!

Kundi la waimbaji kutoka Kenya wamenipa orodha kamili ya wasanii waliofanya nao collabo nchini Tanzania, wasanii hawa ni Ommy Dimpoz, Vanessa Mdee, Weusi na Ali Kiba. Sauti pia wameonyesha kuwa wao ni mashabiki wakubwa wa msanii Ali Kiba na kwamba wanajua na kuimba nyimbo zake zote haswa ‘Chekecha Cheketua”. Sauti Sol pia wamethibitisha collabo mbili ambazo ni Sauti Sol ft Yemi Alade na Yemi Alade ft Sauti Sol.

No comments:

Post a Comment