Popular Posts

Monday, 3 August 2015

AMAxc BLOG: HUYU NDO MSICHANA PEKEE ANAYE SOMA phd HUKO INDIA ANA UMRI MIAKA 15 TU!!! jionee hapa


Sushma Verma na wazaAnaitwa Sushma Verma ni msichana ambaye umri wake ni miaka 15, aligraduate Degree ya Microbiology Chuo cha Lucknow kilichopo India na kajiunga Babasaheb Bhimrao Ambedkar University (BBAU) kwa ajili ya kusomea Masters, kamaliza mwezi June 2015 na anaendelea kujipanga ili kuendelea na masomo ya PhD.i wake siku ya Graduation yake akimaliza Masters.

Kwa hesabu ya kawaida tu, mtoto anaanza Shule ya akiwa na miaka sita, au saba hivi… alafu mpaka kumaliza anakuwa na kama miaka 14, sasa kuna mtu kwenye umri huo alikuwa kamaliza high school na alikuwa Chuo tayari anamaliza zake degree!!



akiwa anajisomea home!!!

akiwa kwenye usafiri kuelekea chuo!!!

No comments:

Post a Comment