Popular Posts

Monday, 3 August 2015

AMAxc BLOG: ZCHEKI HIZ HAPA PICHA ZA UTOTONI ZA CHRISTIAN RONALDO!! na hstoria yake nmekusogezea hapaaa

Cristiano Ronaldo ni mchezaji nyota wa kimataifa wa Ureno ambae wengi tumemfahamu kupitia vilabu vya Manchester United na Real Madrid ya Hispania, Ronaldo ni mtoto wa nne katika familia ya Maria Dolores dos Santos na Jose Dinis Aveiro





hapa akiwa panoja na baba na mama yake

hili kaburi la baba yake na mama yake kulia!!!

No comments:

Post a Comment