Popular Posts

Saturday, 15 August 2015

amaxc blog: nuhu asema kuwa "mambo madogo tu hukuzwa!! unajua kwann hyo kauli??!!! jionee hapa

Msanii Nuh Mziwanda ambaye usiku wa 14 August 2015 alitamblisha wimbo wake mpya na video ya Hadithi amesema mambo madogo anayofanya kwenye maisha yake hukuswa na kuwa kiki, ila sio mpango wake. Nuh anasema ” Naweza kukosema kingereza kidogo ila issue ikachukuliwa na kukuzwa na kuwa kubwa, ila situmi skendo kutangaza muziki”

No comments:

Post a Comment