Popular Posts

Wednesday, 12 August 2015

amaxc blog: unajua nn?!! ricardo kaka anaamin kuwa arsenal inanafasi kidogo ya kumnasa kiungo huy...

Aliyewahi kuwa mchezaji bora wa Dunia mwaka 2007 ambae pia amewahi kuvichezea vilabu vya AC Milan ya Italia na Real Madrid ya Hispania Ricardo Kaka anaamini mshambuliaji wa Real Madrid ya Hispania Karim Benzema hawezi kuachwa na klabu yake akajiunge na Arsenal na kama atauzwa kwenda Arsenal basi watakuwa wamepata bahati.
Kak-Brazil-3-vs-Ivory-Coast-1-ricardo-kaka-13181234-396-594 “Nafikiri Benzema ni moja kati ya washambuliaji bora kwa kipindi hiki, sifikirii kama Real Madrid watamuacha aondoke kirahisi lakini Karim Benzema ni mchezaji mzuri sana na kama atapata nafasi ya kwenda Arsenal, basi Arsenal watakuwa wamepata mchezaji mzuri sana”>>>Kaka
Getafe+v+Real+Madrid+La+Liga+pDM5qfOvzPhm Ricardo Kaka wakipeana mikono na Karim Benzema Kaka ambae alivunja rekodi ya uhamisho wa usajili mwaka 2009 akitokea katika klabu ya AC Milan ya Italia bado anawindwa na klabu ya Orlando City inayoshiriki Ligi Kuu Marekani.klik hapa uckie maneno ya kaka

No comments:

Post a Comment