Popular Posts

Thursday, 13 August 2015

breaking newzz!!! mwenyekit wa zaman CCM dar john gunita!!& ameihama CCM !!!! jionee here!!

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, amejitoa CCM na kujiunga Ukawa (Chadema). Ametangaza msimamo huo muda huu hapa MAELEZO, Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari. CHANZO JAMII FORAM

No comments:

Post a Comment