Popular Posts

Wednesday, 5 August 2015

exclusive...!!! nape adai wote walio toka CCM n oil chafu engine yao laxma ita nock!!! jionee video kipind akiongea!!

NAPE AMESEMA WALE WOTE WANACHAMA WALIO KIHAMA CHAMA HICHO NI KAMA OIL CHAFU AMBAYO UKIWEKA KWENYE GARI LAZIMA LI NOCK Nape anasema Lowassa amejivua nguo...najiuliza alitegemea aendelee kuvaa nguo chafu? vazi la kijani alionyeshi uchafu na ndiyo maana upendelewa na Mafisadi. Ilikuwa ni jambo muhimu kwa Lowassa kuueleza umma juu ya Richmond na sasa tumejua. CCM na menejiment yake inawajibika kutoa maelezo ni wapi fedha za umma zilipelekwa. Tunamshukuru Mh. Lowassa kwani aliwajibika kwa mujibu wa sheria kuinusuru serikali na sasa ni wazi kabisa ni mtu safi haswa anapoendelea kuchukua maamuzi magumu ya kujiunga vema upinzani kuyakataa makabaila ndani ya CCM.

No comments:

Post a Comment